uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
-
- #181
Laki na nusu zipo eka tano Bwewe wami njoo uchukueBei kubwa mno, fanya kwa Laki na nusu kila ekari tununue
Ruvu bei ya kukodisha mienzi sita tu laki mojaBei kubwa mno, fanya kwa Laki na nusu kila ekari tununue
Hapajai maji kabisa boss.kuna muinuko kidogo ata Nyumba unajengaVip wakati wa mvua inakuwaje hapo boss, hapajai maji!?
Ruvu Kisabi Mkuu,3km mpaka ruvu darajaniRuvu ipi mkuu, chauru ama
Njoo pm mkuuWeka number upigiwe simu
Tangazo hili zuri sana. Kushinda lile tangazo la kiwanja kinachouzwa kule Salasala. Nilipojaribu kuhoji eti Mods wakanipiga Ban. Kwa hiyo ninyi Mods mnataka tuwe tunabambikwa viwanja?Ipo Kinyerezi ,bei milioni 29.vyumba vitatu,viwili master,umbali mpaka bara bara kuu unatembea dakika tatu,maji na umeme vipo jirani.kwa muitaji nicheki pm
Ukubwa Kiwanja 20 kwa 20.Kiwanja kina hati,okey asante ila Mteja serious pm sio mbali anakuja nampatia nambaWatanzania tujifunze kufanya biashara za mtandaon..
Tangazo kama hilo ni lazima ungeweka taarifa muhimu kama ukubwa wa kiwanja, je kiwanja kina hati ? , Umbali mpaka barabarani ni kama kilomita ngapi ??? .....
Mwisho ungeweka namba yako ya simu kwa Sababu si watu wote wanunuzi wapo jamii forum kuna wadau wana ndugu jamaa na marafiki wamaweza kupewa namba yako wakakucheki
Hebu wacha biashara za ujanjajanja kama upo serious basi weka namba zako za simu sio maneno. Na picha za ndani ya nyumba sio njeUkubwa Kiwanja 20 kwa 20.Kiwanja kina hati,okey asante ila Mteja serious pm sio mbali anakuja nampatia namba
Duh Nyumba ambayo haijakamilika kweli ya nje kwako haina maana,sawa Mkuu nitapiga na za ndani niwekeHebu wacha biashara za ujanjajanja kama upo serious basi weka namba zako za simu sio maneno. Na picha za ndani ya nyumba sio nje
tuwekee namba za simu tuwasiliane, unauza nyumba halafu unafanya siriDuh Nyumba ambayo haijakamilika kweli ya nje kwako haina maana,sawa Mkuu nitapiga na za ndani niweke
Namba ukiitaji nakuletea pm.siwezi weka public namba maana sio ya biashara na siwezi nunua laini mpya kwa ajili ya kuuza Nyumba tu.unawajua watu wasiojulikana?nakutumia pm namba,yeyote anataka namba nampa pmtuwekee namba za simu tuwasiliane, unauza nyumba halafu unafanya siri