Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

khalifa awe

Senior Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
147
Reaction score
31
Habari wana jf nauza shamba lenye ukubwa wa ekari 50 lipo Dodoma wilaya Chemba kijiji cha Majengo kata ya Parang. Umbali kutoka barabara kuu ya Dodoma Arusha ni km16 bei ni sh.250000/= kila ekari moja mawasiliano ni 0683670160 /0622670160 /0762670160 AU whatsap 0629114315 au email: khalifaawe@gmail.com
 
Shamba linauzwa ekari 60 lipo CHEMBA mkoani Dodoma km 50 toka Dodoma mjini km 16 toka barabara kuu ya Dodoma Arusha bei 100000/- kwa kila ekari moja linafaa kwa mifugo Na kilimo cha mahindi, maharage, mbaazi, ufuta, alizeti, mtama, mihogo, na ulezi ni km 2 kutoka mto bubu
 
Lina hati miliki na mazao au pori tu lisilo na mazao na hati miliki?
 
0683670160
OK, nitakucheck....ila isiwe ikawa kama wale matapeli, nmetoka ifakara nikakuta kesi kwa viongozi wa kijiji..watu wameuziwa heka kwa laki moja (pori). Hao wauzaji wao walikodi kwa kijiji kwa gharama ya elfu kumi kwa ekari.

Wao wakatafuta mteja wa kumuuzia kabisa laki kwa ekari.....nimeshuhudia haya mwezi January mwaka huu huko Ifakara.

Hilo eneo lako hayo mazao yanakubali kweli? Maana Dodoma kuna maeneo hayataki kulimwa zao lolote....ardhi ina sumu kabisa.

Unalimiliki kihalali kwa mila/ulilinunua/umerithishwa ama? Nisaidie kwanza hapo
 
Shamba linauzwa ekari 60 lipo CHEMBA mkoani Dodoma km 50 toka Dodoma mjini km 16 toka barabara kuu ya Dodoma Arusha bei 100000/- kwa kila ekari moja linafaa kwa mifugo Na kilimo cha mahindi, maharage, mbaazi, ufuta, alizeti, mtama, mihogo, na ulezi ni km 2 kutoka mto bubu
Mkuu ukijibu swali la jama aliekuuliza kuhusu hati na pia kama ni pori au la, nitarudi tena.
 
Hivi jamani kule KILINDI SIKU HIZI HAYAPATIKANI?
 
Jamaa anata kurudi mujini na sisi ndo twende bushi.
Sijui ninyi.
Mie town sing'oki ng'o
 
OK, nitakucheck....ila isiwe ikawa kama wale matapeli, nmetoka ifakara nikakuta kesi kwa viongozi wa kijiji..watu wameuziwa heka kwa laki moja (pori)....
Sio utapeli ni shamba limefyekwa ila halijang'olewa visiki. Kuna dada amenipigia ameniahidi ndani ya simu tatu atakwenda kulicheki kwa hiyo akishindwa mnicheki wiki ijayo kupata jibu. Ahsanteni
 
Okay sawa
 
Huwa mnapata wapi hati dodoma au kondoa?Na wapimaji wanatoka kondoa au dodoma?
 
Back
Top Bottom