khalifa awe
Senior Member
- Sep 21, 2016
- 147
- 31
NdiyoMhhh!, laki moja kwa ekari
Mkuu chemba....ntakuja ngoja nimalize ziara yangu. Au nipe namba yako nimtume mtu muonane umuelekeze then alafu mambo mengine yaje mbeleNdiyo
0683670160Mkuu chemba....ntakuja ngoja nimalize ziara yangu. Au nipe namba yako nimtume mtu muonane umuelekeze then alafu mambo mengine yaje mbele
Ni namba ya simu 0683670160 au 0622670160 au 0762670160Mkuu chemba....ntakuja ngoja nimalize ziara yangu. Au nipe namba yako nimtume mtu muonane umuelekeze then alafu mambo mengine yaje mbele
Lina hati miliki na mazao au pori tu lisilo na mazao na hati miliki?Shamba linauzwa ekari 60 lipo CHEMBA mkoani Dodoma km 50 toka Dodoma mjini km 16 toka barabara kuu ya Dodoma Arusha bei 100000/- kwa kila ekari moja linafaa kwa mifugo Na kilimo cha mahindi, maharage, mbaazi, ufuta, alizeti, mtama, mihogo, na ulezi ni km 2 kutoka mto bubu
Akikujibu hili swali nishtue mkuuLina hati miliki na mazao au pori tu lisilo na mazao na hati miliki?
OK, nitakucheck by tomorrowNi namba ya simu 0683670160 au 0622670160 au 0762670160
OK, nitakucheck....ila isiwe ikawa kama wale matapeli, nmetoka ifakara nikakuta kesi kwa viongozi wa kijiji..watu wameuziwa heka kwa laki moja (pori). Hao wauzaji wao walikodi kwa kijiji kwa gharama ya elfu kumi kwa ekari.0683670160
Mkuu ukijibu swali la jama aliekuuliza kuhusu hati na pia kama ni pori au la, nitarudi tena.Shamba linauzwa ekari 60 lipo CHEMBA mkoani Dodoma km 50 toka Dodoma mjini km 16 toka barabara kuu ya Dodoma Arusha bei 100000/- kwa kila ekari moja linafaa kwa mifugo Na kilimo cha mahindi, maharage, mbaazi, ufuta, alizeti, mtama, mihogo, na ulezi ni km 2 kutoka mto bubu
Sio utapeli ni shamba limefyekwa ila halijang'olewa visiki. Kuna dada amenipigia ameniahidi ndani ya simu tatu atakwenda kulicheki kwa hiyo akishindwa mnicheki wiki ijayo kupata jibu. AhsanteniOK, nitakucheck....ila isiwe ikawa kama wale matapeli, nmetoka ifakara nikakuta kesi kwa viongozi wa kijiji..watu wameuziwa heka kwa laki moja (pori)....
Okay sawaSio utapeli ni shamba limefyekwa ila halijang'olewa visiki. Kuna dada amenipigia ameniahidi ndani ya simu tatu atakwenda kulicheki kwa hiyo akishindwa mnicheki wiki ijayo kupata jibu. Ahsanteni
Huwa mnapata wapi hati dodoma au kondoa?Na wapimaji wanatoka kondoa au dodoma?Sio utapeli ni shamba limefyekwa ila halijang'olewa visiki. Kuna dada amenipigia ameniahidi ndani ya simu tatu atakwenda kulicheki kwa hiyo akishindwa mnicheki wiki ijayo kupata jibu. Ahsanteni
Wilaya ni chembaHuwa mnapata wapi hati dodoma au kondoa?Na wapimaji wanatoka kondoa au dodoma?