Goldenmjema
Member
- Mar 26, 2023
- 14
- 8
Sasa badala ya kueleza vyema umbali wa kutoka hapo hadi ilipo barabara kuu, wewe unatupa direction ya kuelekea baharini.. unadhani kila mtu ni mvuvi mkuu?Kiwanja KINA sqm 1298 kipo mbutu kigamboni,kina hatimiliki ya wizara ya ardhi isiyokuwa na deni,kutoka kiwanja kilipo kufika Baharini ni dakika 4 tu kwa kutembea.Bei milioni 40. 0767600250/0674913177View attachment 2669000
Si Utanunua boti kama usafiri wakoSasa badala ya kueleza vyema umbali wa kutoka hapo hadi ilipo barabara kuu, wewe unatupa direction ya kuelekea baharini.. unadhani kila mtu ni mvuvi mkuu?
Boti naenda wapi sasa mkuu? Unguja au?Si Utanunua boti kama usafiri wako
MagogoniBoti naenda wapi sasa mkuu? Unguja au?
Mwanaume nitaendaje magogoni mkuuMagogoni
Ndio itakua njia yako mkuu, hapo haijatajwa barabaraMwanaume nitaendaje magogoni mkuu
Mkoa wa dar es salaam, wilaya ya temeke,eneo mbagala chamanzi kwa mapunda pia ni njia fupi ya kutokea magole/kitunda mpakani mwa wilaya ya ilala na temeke.Karibuu bossNi sehemu gani boss?