Plot4Sale Tunauza Viwanja Sehemu mbalimbali Tanzania

Plot4Sale Tunauza Viwanja Sehemu mbalimbali Tanzania

Joined
Sep 27, 2019
Posts
67
Reaction score
46
● Viwanja vilivyo sehemu upepo wa bahari unapovuma ule mzuri na tulivu
.
● Viwanja vimepimwa na vipo katikati ya maeneo ambayo yote yamepimwa na yamepangika vizuri .
● Viwanja vipo beach safi ambayo wengi hutumia kwa michezo mbalimbali na mazoezi .
● Viwanja vimepakana na maeneo yaliyopimwa kwa matumizi ya hotel na makazi ya watu .
● Ukihitaji na hatimiliki utapatiwa baada ya kumaliza malipo kwa kuchangia gharama kidogo.

GEZAULOLE BEACH PLOTS - GEZAULOLE KIGAMBONI
sqm 1@35000
Down payment 50%
Malipo miezi 6
.
Umbali wa project ya viwanja
14km kutoka Ferry na 1km kutoka Gezaulole centre(Barabara ya Lami,ingawa barabara ya kwenda eneo la project ni kubwa(30mita) na inafikika katika kipindi chote cha mwaka iwe masika iwe jua.
.
Kwa maelezo zaidi tupigie namba hizi
#0713132109
#0653258735
#0782915098
Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja bila gharama yoyote ni muda wako tu mteja.

Miradi yote tunayouza ni miradi ya kampuni na wahusika ni kampuni.

Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK (ilipo NBC BANK), MBEZI BEACH TANKI BOVU - DAR ES SALAAM.
LEO.jpg
 
● Suala la bei,umbali,miundombinu,namna ya ulipaji na vingine vyote vitawekwa rasmi baada ya kumaliza upimaji wa eneo
.
● Baada ya wiki tatu mpaka mwezi mmoja ndio litaingia rasmi sokoni
.
● TUNAJIAMINI NA MAENEO YETU.TUONE TUKUHUDUMIE
.
● Ofisi zetu zipo MBEZI BEACH TANKI BOVU,TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK),Ghorofa ya tatu.
SALASALA.JPG
 
● Project ambayo barabara ya Lami ndio inajengwa na inapita karibu na site kwetu

● Kuhusu suala la miundombinu ya maji na umeme 100% vipo karibu na site yetu

● Eneo lote lina miembe na migomba ya ndizi ambayo ukinunua kiwanja chako na vilivyopo ndani yake ni vya kwako.

● Price- sqm 1@10000Tsh
Down payment 30%
Malipo miezi 12.

● Kwa maelezo zaidi tupigie namba hizi
#0713132109
#0764454431
#0746390692
Maeneo mengine ambapo project zetu zipo ni
#Goba Kunguru
#Mbweni beach plots
#Kigamboni kisarawe II
#Kibaha visiga madafu
#Kibaha zegereni
#Salasala (not yet but soon)
#Kigamboni gezaulole-Bamba beach plots.
#Goba kinzudi(not yet but soon)
#Bunju Mabwepande(not yet but soon)
#Gongo la mboto(not yet but soon)
#Chamanzi mbagala(not yet but soon)
#Muhimbili(Lindi)
#Kigamboni potea(not yet but soon)
.
● Maeneo yote tunayouza ni miradi ya kampuni.
● Fika ofisin kwetu MBEZI BEACH TANKI BOVU,TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK),GHOROFA YA TATU.
Presentation1jhUKLYRJF.jpg
 
#viwanja vyote vimepimwa .

MBWENI, MBWENI MALINDI
Project ambayo ni affordable kwa wote
sqm 1@ 30000Tsh
Down payment 30%
Malipo miezi 12.
.
Umbali wa project ya viwanja
200Mita kutoka usawa wa Bahari na 150Mita kutoka Mbweni center.

Kwa maelezo zaidi tupigie namba hizi
#0713132109.
#0764454431 .
#0746390692

Kutembelea site ni kila siku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja.

Maeneo mengine ambapo project zetu zipo ni
#Goba kulangwa( not yet but soon).
#Mbweni malindi
#Salasala (not yet but soon)
#Vikawe njia baobab secondary.
#Kigamboni kisarawe II.
#kibaha visiga
#Kigamboni gezaulole-Bamba beach(not yet but soon).
#kibaha zegereni.

Maeneo yote tunayouza ni miradi ya kampuni yetu.
Fika ofisini kwetu MBEZI BEACH TANGI BOVU,TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK),GHOROFA YA TATU.
5.jpg
 
●Eneo lipo kigamboni njia kuu ya kwenda mwasonga ni 2KM kutoka Kibada centre.
●Eneo lipo katika barabara kuu inayojengwa kwa kiwango cha Lami hivi sasa.
●Kuna flow kubwa sana ya magari ya abiria na yaendayo viwandani.
●Ni njia kuu ya kwenda kiwanda cha cement, kiwanda cha maji ya Afya au Dar Fresh,pia kwenda Dar es salaam Zoo .
●Pia ni njia kuu zinapojengwa YARD za magari yote yauzwayo jijini Dar es Salaam.
●Pia ni njia kuu iendayo katika miji kama Kisarawe II, Kwa Sharifu, Mwasonga, Kimbiji na Kwingine ambapo kuna daladala nyingi tu .
●Bei ya eneo la kituo cha mafuta ni 180million ingawa kuna offer nyingine hapo .
●Tupigie
#0713132109
#0782915098


kisaraawe%202.JPG
 
#viwanja vyote vimepimwa na vipo pembezoni mwa Barabara inayojengwa Lami ya kutoka Kibada kwenda Mwasonga.

KIGAMBONI, KIGAMBONI KISARAWE II
sqm 1@22000
Down payment 30%
Malipo miezi 6.
.
Umbali wa project ya viwanja
13km kutoka Ferry na 2km kutoka kibada centre.

Kwa maelezo zaidi tupigie namba hizi
#0713132109
#0764454431
#0746390692
Kutembelea site ni kilasiku pale mteja atakapohitaji kufika site na kujionea viwanja.

Maeneo mengine ambapo project zetu zipo ni
#Goba kulangwa( not yet but soon).
#Mbweni usalama
#Mbweni BEACH PLOTS
#Salasala (not yet but soon)
#Vikawe njia baobab secondary.
#Mbweni beach plots.
#kibaha visiga
#Kigamboni BEACH PLOTS(not yet but soon).
#kibaha zegereni.

Miradi yote tunayouza ni miradi ya kampuni na wahusika ni kampuni.
Fika ofisini kwetu TEVI COMMERCIAL PARK(ilipo NBC BANK),MBEZI BEACH TANKI BOVU-DAR ES SALAAM
sustainablecities_company_20200707_085723_0.jpg
 
Kuna mwingine alisema bei ya kiwanja kidogo tu kisa kipo jirani na mlimani city akataja 800M!

Dar inabidi tuiweke level moja na New York city maana hata Jozi haioni ndani!
 
Back
Top Bottom