Tunapima 20 kwa 20 na bei yake 7.5ml maongezi kidogo yapo
Karibu ujipatie plot nzr iko maeneo mazuri na mji uliopimwa kwa mpangilio , njia nzr na panafikika kwa urahisi, unaweza pitia mbweni au mbele ya bunju ukivuka daraja
Kwa Maelezo au ukihitaji kuja kuona tuwasiliane kwa 0756060183