Zana za kilimo na ufugaji
Member
- May 28, 2025
- 7
- 13
Comrade weka picha halisi ya hizo bidhaa zako, pamoja na bei zake za kuuzia. Kinyume na hapo hili tangazo lako litafanyiwa masihara ambayo yatakuumiza sana moyo.BREEDING AND FARMING EQUIPMENT.
"Zana Bora za Kilimo kwa Bei Nafuu! 🌾🚜
Tunauza:
🌍mashine ya kupandia mpunga ( Rice planter)
✅ Mashine ya kutotoleshea vifaranga ( incubator )
✅ Powertillers - Mashine ya kisasa ya kulima
✅ Brush Cutters - Kukata nyasi na kusafisha mashamba kwa urahisi
✅ Weeding Machines - Kuondoa magugu kwa haraka
✅ Chaff Cutters - Kukata malisho ya mifugo kwa ufanisi
✅ mashine ya kupandia mpunga ( Rice planter )
✅ Mashine ya kupandia Nafaka ( Seeds planter )
✅ Cage za kuku
🌍(PLUCKER MACHINE) Mashine za kunyonyolea kuku
💥 Pata mashine hizi kwa bei nafuu na tunatoa ushauri wa matumizi.
📦 Usafirishaji unapatikana hadi mikoa mingine.
📞#PIGASIMU 0717972617
🌍 Tunakuwezesha kufanikisha kilimo bora!"
mkuu na shida na ile mashine ya kupandia mahindi, maharage na mikunde. bei gani?
TUPO DAR ES SALAAM MIKOANI TUNASAFIRISHA UNALIPIA BAADA YA KUPOKEA MZIGO PIGASIMU 0717972617mkuu na shida na ile mashine ya kupandia mahindi na mikunde.
Kwani unapatikana wapi?
bei yake sh. ngap mkuu? ile ya kuzungukaTUPO DAR ES SALAAM MIKOANI TUNASAFIRISHA UNALIPIA BAADA YA KUPOKEA MZIGO PIGASIMU 0717972617
SEEDS PLANTERbei yake sh. ngap mkuu? ile ya kuzunguka
bei yake sh. ngap mkuu? ile ya kuzunguka
ntakuchek mkuuSEEDS PLANTER
MASHINE ZA KUPANDIA MBEGU
Seeds planter na Rice planter
mashine za kupandia mahindi, maharage,karanga, njugu , kunde , mbaazi nk.
Bei Tsh 350,000 na 450,000
Mashine hazitumii mafuta wala umeme Ni rahisi kutumia.
TUPO DAE ES SALAAM
MAWASILIANO
0717972617
Tumekupata Mkuu,Mungu atatupa ,tukuunge!
Tutamkopa,Kaacha namba ya simu!Uliza bei yake sasa hapo uone.
Inasikitisha sana kwa kweli.
Una mashine ya kupukuchua karanga?