Tunavunja historia nusu ya kwanza bila kufungwa

Tunavunja historia nusu ya kwanza bila kufungwa

Barikiel

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
403
Reaction score
405
Wana msimbazi nawapa pole siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tudu bovu.
fa2d3628a7288d58238d93067dc40113.jpg
 
Duh! Simba huyu Ana Bonge la hips, Kalibana weeee!!, watu wakawa wanaishia kulipapasa tu hips hilo.
Kaona isiwe shida, kavua kabisa Gauni watu waone kilichopo ndani.
Wakati wa mfululizo wa ushindi walikuwa na kelele hatari.
Hivi sasa watu wanafanya kugombania kupeleka Posa, maana kila mtu keshaliona hips Kwa ndani lilivyo.
Tunasubiri Kosovo baina yao.
 
Ukuta wa tope kisha hauna plaster kwa masika hii tutarajie waliomo ndani kuangukiwa na ukuta.
 
Nimevutiwa na hizo bastola zake nadhani sio mchina huyo atakuwa amerithi hizo sijui kwa bibi yake wa upande gani!
 
Kigumu ni kutoa Bikra tu,.. Wa kulaumiwa ni African Lyon aliyemwingilia mtoto akasababisha mtoto huyu kanogewa, sasa watu wanajishikia mkono tu.
 
Back
Top Bottom