Hahaaahaa utani wa jadi bwana duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85]Wana msimbazi nawapa pole siku zote ndege mjanja hunasa kwenye tudu bovu.
Bi HinduNimevutiwa na hizo bastola zake nadhani sio mchina huyo atakuwa amerithi hizo sijui kwa bibi yake wa upande gani!
Usizitizame kwa woga zimekaa uzuri.Bi Hindu