kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,871
- 2,762
Napenda kutoa taarifa kwamba kama mtu unataka kusafiri sasaivi usitumie huu usafiri wa precicion maana toka saa tano asubui paka sasaivi saa 10 jioni wanatutangazia kuchelewa na hawatoi huduma yeyote! Serikali fufueni kampuni yetu ya ndege ya Tanzania jamani angalieni walivyo hapa airport! Yani tunateseka na uwezo wa kurudisha hela hawana!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums