Tunawakaribisha wanasheria, wahasibu, wahandisi, watawala, wawekezaji...

kwa mfano ukisain hiyo non disclosure greement halafu haujaridhika na hiyo kampuni inakuaje? unaruhusiwa kuvunja mkataba kabla hujatoa hiyo milioni 10?
 
kwa mfano ukisain hiyo non disclosure greement halafu haujaridhika na hiyo kampuni inakuaje? unaruhusiwa kuvunja mkataba kabla hujatoa hiyo milioni 10?

Ukisaini "non disclosure agreement" hautakiwi kulipa chochote, haulipi kitu kabisa. Mkataba huo ni wa kutunza yatakayozungumzwa baada ya maongezi.

Unaweza usikubaliane na ukaona hautaki kuwekeza hapo basi hauna cha kulipa wala kuwekeza.

Baada ya maongezi ikiwa utakubali kuwa ni mwekezaji na kujiuna na team tunayojitahidi kuiunda hivi sasa, basi hapo kutakuwa na mikataba mingine ya kisheria ya uwekezaji.

Uwekezaji hautakuwepo mpaka team itakayounda shirika ikamilike.
 
Wadau wote,

Tunapenda kuwajulisha kuwa mpaka sasa tumeshasajili wana saccos zaidi ya 40 na tunaendelea kusaiili wana saccos wapya kila kukicha, kutoka sehemu mbali mbali za Tanzania na duniani kwa ujumla. Diaspora wengi wameanza kuitikia mwito wetu.

Pia tunapenda kuwafahamisha kuwa yeyote ataeungana nasi kwa sasa, tutamuingiza katika group letu jipya la "Biashara Vitendo SACCOS" (licha ya lile la "Vitendo SACCOS") ambalo unaungwa automatically unapojiunga tu na SACCOS yetu mpya.

Humo utaweza kutangaza biashara zako binafsi nasi pia tutasaidia kuzitangaza tena kwenye mitandao ya kijamii na baadae tutaziweka kwenye website yetu itakapokuwa tayari.

Karibuni sana wadau.

Ada ya kiingilo kwa sasa ni shillingi 10,000 (elfu kumi) ambazo zitatumwa kwa Mwenyekiti wa muda kwa njia ya Mpesa. Namba ni 0756803528 jina Ghafur Abdallah Mohamed.

Unaweza kupitia hapa: Fursa ya kukopa kukopesha kwa faida bila riba
 
we tueleze ni kitu gani mnataka kufanya,sio kutuambia mpaka tukupigie.
 
we tueleze ni kitu gani mnataka kufanya,sio kutuambia mpaka tukupigie.

Samahani sana hatuwezi kukueleza hapa mpaka tufate masharti tuliojiwekea.

Kama hukupendezewa wachana tu na hii habari.
 
Watu wengi wanashangaa issue ya non disclosure agreement wakati kuna baadhi ya nchi wajasiriamali wanakwenda beyond that kwa ku patent business ideas or process ili kulinda mawazo yao yasitumiwe na watu wengine.In mambo ya kawaida cha msingi kila mmoja kuwa na tagadhari.
 
Target yenu in wadau wangapi, sasa hivi wamefika wangapi, lini mnatarajia kuanza?

Tumekuja na approach mpya kabisa ya kukutanisha talents tofauti.

Tumeanzisha SACCOS mpya kabisa ambayo mpaka sasa imekusanyisha talents nyingi sana. Na tupo katika kuiunda, na miradi yote iliyofikiriwa humu itakuwepo huko.

Karibu sana ujiunge nasi, kwa maelezo zaidi tuma whatsapp 0625249605 na unaweza kupitia hapa: Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba
 
Ngoja niendelee kufuatilia mjadala japo hizo 10m sinazo... Siku mkihitaji watendaji vijana tupo
 
Ngoja niendelee kufuatilia mjadala japo hizo 10m sinazo... Siku mkihitaji watendaji vijana tupo

Si lazima kujiunga nasi lazima uwe na million 10.

Tumekuja na approach mpya kabisa ya kukutanisha talents tofauti.

Tumeanzisha SACCOS mpya kabisa ambayo mpaka sasa imekusanyisha talents nyingi sana. Na tupo katika kuiunda, na miradi yote iliyofikiriwa humu itakuwepo huko.

Karibu sana ujiunge nasi, kwa maelezo zaidi tuma whatsapp 0625249605 na unaweza kupitia hapa: Vitendo SACCOS - kukopeshana bila riba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…