Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,414
- 2,181
Habari wakuu
Baada ya maombi ya muda mrefu, Drone Computers tumeamua kuanza kukodisha laptop kwa watu wanaofanya miradi ya muda mfupi kuanzia miezi 3 na kuendelea. Aidha kila laptop italipiwa pesa ya tahadhari kufidia uharibifu endapo utajitokeza au upotevu wa laptop.
Kiasi hiki kitarudishwa mwisho wa mkataba endapo laptop zitarudi salama. Kukodi laptop moja ni elfu 50 tu kwa mwezi.
Piga 0713039875 kwa maelezo zaidi