Kiwalani finest
Member
- Jul 6, 2024
- 97
- 72
Nilisikika huko Ndotoni Katika Ulimwengu wa Kiroho pale nilipotekwa na Majambazi ya kisiasa na Kisha kuvutishwa Bangi bila ridhaa yangu kisa tu wanadai maneno yangu yanawaamsha watu na hivyo kuweka Hali ngumu ya kuwanyonya Kama zamani wakati ule wakiwa wananchi hawajielewi. Nikaanza kuropokwa. Naiomba Serikali iendelee kupiga Vita Bangi bila kujali product karibu 40 zitokanazo na Bangi ambayo haiuwi na Wala haiikiuki katiba Direct ukiilinganisha na sigara inayoisigina katiba uk 21 ibara 14. Sigara ziachwe tu ingawa kwa mujibu wa Professor Janabi Alisema zinawauwa watu Million nane kwa mwaka na hivyo kusababisha Uvunjifu wa viapo kwa watu walioapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 uk 21 ibara 14 inayosisitiza uhai ulindwe kwa mazingatio ya kujuwa kwamba kufa ni kufa tu ambapo lazima kulinda uhai kwa gharama Yeyote.
Nakumbuka Tarehe 09/12/2020 Hayati Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli Akiwaapisha Mawaziri Alisema, Kwenye Mambo ya Serikali ni lazima mzingatie Maadili ya Viapo vyetu. Mwisho wa kunukuu.
Tukijikita kwenye maelezo lengwa ya leo yatupasa kwanza kuwa watu wenye kufikiri ndipo tutakapokuwa tunasoma tuweze kujifikirisha na Kisha kuamuwa kusimama kwenye Ukweli huku tukitanguliza imani zetu kwa Muumba wetu. Professor Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania Akiwa Mwanza. Nakumbuka Tarehe 18/09/2024 Alisema, Katika kila Jambo Waislam tangulizeni kufikiri. Kuangalia na kuchuja Mambo. Hivi ndivyo inavyotakiwa Katika Uislamu. Na Huu ndiyo Uislam thabiti. Mwisho wa kunukuu.
Nabii IPM (Issac Paul Mohammad) Wa Embassy of God for Nations Mwenye Kanisa lake huko Mbuyuni Mbezi Beach Dar es salaam Nabii aliyetokea kwenye Dini ya Uislamu. Nakumbuka Tarehe 21/09/2024 Alisema, Lazima Sisi Viongozi tuangalie namna gani ambayo tutaleta matokeo tofauti. Mawazo mapya Katika Jamii yetu dhidi ya kuisaidia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwisho wa kunukuu.
Tusome katiba ya CCM 1977 toleo 2022 ibara 05(04) ndupo tukasome Kitabu Cha Tujisahihishe uk 06. Mwl Julius Kambarage Nyerere aliwahi kuandika, Kwa Kuogopa kuwaudhi wengine tunawaachia watende makosa bila kuwasahihisha wasije wakatuchukia. Huu ni unafsi Mbaya saana. Mwisho wa kunukuu.
Mheshimiwa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Nakumbuka Tarehe 07 09/2018 Akiwa Tarime Alisema, Lazima niwaambie Ukweli, Najuwa, Maneno haya hayawa furahishi saana baadhi, Lakini Mimi (Ukweli) utabaki kuwa Ukweli. Siku mukuamua nikimaliza urais wangu munifukuze CCM mtanifukuza, Nitaenda Chato nitakuwa nachunga mbuzi Basi. Mwisho wa kunukuu.
Katika nchi tumekubaliana Watanzania kuitii na kuifuata katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005 ibara 26(1)(2) na ibara 09 a,b,f, na h. Katiba ndiyo Mwongozo Mkuu kwa nchi yetu. Tukiisoma katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ibara 08(1)(a)(b)(c)(d) uk 17 inatueleza, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayofuata Misingi ya Demokrasia na haki ya kijamii na kwa hiyo, Wananchi ndiyo msingi wa Mamlaka yote na Serikali itapata Madaraka na Mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi kwa mujibu wa katiba hii. Lengo kuu la Serikali litakuwa ni Ustawi wa Wananchi. Serikali itawajibika kwa Wananchi. Wananchi watashiriki Katika Shughuli za Serikali yao kwa mujibu wa Masharti ya katiba hii. Mwisho wa kunukuu.
Wakili Msomi Jasiri Edson Kilatu Akiwa maeneo ya Mahakamani. Nakumbuka Tarehe 24/09/2024 Alisema, Katiba ipo juu ila Taasisi zingine zoote zipo chini ya Katiba. Mwisho wa kunukuu.
Nakumbuka September 2019 Mheshimiwa Simmon Sirro Akiwa Mkuu wa Jeshi la Police Alisema, Nasema hivi fateni Sheria. Sheria zimewekwa wote tufuate Sheria. Usipofuata Sheria, Tutakushughulikia. Mwisho wa kunukuu.
Kwa maelezo haya ni wazi kabisa tunapaswa kufuata Sheria na heshima iliyowekwa na Mfumo ili tunapokuwa tunatamka itifaki zetu tuzitamke kisheria na kwa mujibu wa utaratibu ndani ya nchi huku tukionyesha utii wa kuwaelewa Wananchi kuwa ndiyo Maboss wetu ambao wanao uwezo kwa mujibu wa katiba Kutuweka Madarakani Au kutuwajibisha.
Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Akiwa katika Ufunguzi wa Jengo la Halmashauri Wilaya ya Mbinga. Nakumbuka Tarehe 25/09/2024 Alisema, Utumishi wetu Mimi na ninyi ni kuhudumia Wananchi. Sisi ni Watumishi wa Wananchi. Na (Wala) si Mabwana wa Wananchi. Si Watawala wa Wananchi. Sisi ni Watumishi kwa Wananchi. Mwisho wa kunukuu.
Watumishi wa Serikali wametokana na CCM kushindia pande la muhogo kwenda kuomba ridhaa kwa Wananchi kuiongoza nchi. Ndani ya CCM tunapoacha Chama kikatekwa na Wajanja wabinafsi kwa kuweka Viongozi baadhi maboya tujuwe tunawasaliti Wananchi waliotupa ridhaa kuiongoza nchi kwa Uaminifu na uadilifu. Tuige mienendo ya Mtume Mohammad SAW. Hakuwa muongo Kama tulivyo Sisi. Tufuate haki aliyotufundisha Mtume Mohammad SAW ili tuwatendeee haki Wananchi waliotuamini. Tukikosea tuwe tayari kujikosoa na sio kuendelea na makosa.
Mheshimiwa Rais Dkt Hussein Mwinyi Rais wa Zanzibar. Akiwa katika Sherehe za Maulid. Nakumbuka Tarehe 18/09/2024 Alisema, (Mtume Mohammad SAW) ndiye kiigizo kizuri Kama alivyosema Mwenyezi Mungu Subhahanahu Wataalla katika (Qur aan) sura ya Al hazzard aya ya 21 aliposema kwa hakika mnacho ninyi kiigizo kizuri Cha kuiga ambaye ni Mtume (Mohammad SAW) kwa yule mwenye kutaraji thawabu kutoka kwa Allah na Mwenye Kuogopa Adhabu za akhera. Mwisho wa kunukuu.
Professor Abubakar Bin Zuber Bin Ally Bin Mbwana Mufti na Shekhe Mkuu wa Tanzania Akiwa Mwanza. Nakumbuka Tarehe 18/09/2024 Alisema, Hauwezi ukawa kiongozi unazungumza Jambo huna mrejeo (Reference). Kwa hiyo ukiona mpaka tunathubutu kusema ujuwe tuna mahali tukarejea. Kwa hiyo niwatoe mashaka, Hatukusema tu kibaba baba. Tumesema ki elimu. Mwisho wa kunukuu.
Tuache kuichelewesha nchi turudi kwenye Utawala Bora usio na Uongo Uongo. Tukisema tunaheshimu watu tuwaheshimu kweli kweli na sio kuonyesha janja janja na hasira mbele huku tunayotamka yakikinzana na matendo yetu.