Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Afrika kufika nusu fainali

Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Afrika kufika nusu fainali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli

Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika semi final ya kombe la dunia

Roho ya Shujaa Magufuli itaamanika sana

Mlale Unono!
 
Eti wanatujengea uwanja wakati mfalme alichomoa mpaka serikali ikasema itajenga yenyewe. Haya tuambie huo uwanja alioombwa mfalme unaanza lini maana ni zaidi ya miaka 5 imepita
 
Morocco wenyewe wanasemaje![emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

[emoji23][emoji23][emoji23] Wa Morocco [emoji1173] wanajitenga na bara la Africa lililo jaa unafiki, dhuluma, wizi na utawala kandamizi ! Bora waambatane na waarabu wenzao
 
Kumbe mwaka 1987 walituma maombi ya kuwa sehemu ya europe wakagomewa??? Aloo hawa jamaa kweli hawataki kabisa kuitwa waafrika ni basi tu.
 
Morocco wenyewe wanasemaje!😂😂👇👇👇👇
Aione chawa mfawidhi wa mwendazake johnthebaptist kwa rejea zaidi
 
Hivi huo uwanja wa mpira unaojengwa Dodoma kwa ufadhili wa Morocco umefikia level gani?
 
Morocco wenyewe wanasemaje!😂😂👇👇👇👇

ESPN👇👇

Morocco: Historic World Cup win over Spain honors Arab, African football

Yahoo 👇👇👇

Morocco’s Soccer Team Coach Says His Country Represents Africa In The World Cup

Al Jazeera 👇👇👇
“At some point in Africa, we have to be ambitious and think why not win the World Cup, even if it’s going to be hard,” Morocco’s Walid Regragui said in the aftermath of the triumph over Spain.

Je, ukiambiwa uchague ni habari ipi inaweza kuwa more credible na ya kuitilia maanani zaidi kati ya hiyo yako ambayo media yenyewe inajulikana mwisho Ziwa Nyasa, na hizo International Media, ungechagua zipi?
 
Morocco wenyewe wanasemaje![emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
The Moroccan FA has said that their World Cup win has nothing to do with Africa.
In a comment after their surprise victory over Spain, Morocco national team coach Sofiane Boufal told international media that their win was for the Arab world.

“Thanks to all Moroccans all over the world for their support, to all Arab people, and to all Muslim people,” he has been quoted as saying.
The remarks come after much of Africa joined the country in celebrating with them after they handed a shock defeat to Spain through penalty knock-outs.
Across social media, people have hailed Morocco as an African victory. After the exit of Senegal, Cameroon and Ghana, people in different African countries have naturally adopted Morocco.
The remarks have raised issues over Morocco’s own identity where it has identified itself with people outside of Africa. In 1987, Morocco applied to join the European Union but it was turned down because it could not be regarded as European.

At the Africa Cup of Nations this year, Morocco eliminated the Flames in the round of 16.
 
Walifuzu kucheza World Cup kwa kucheza na timu gani? za Kiarabu tu? za Ulaya? au za Afrika?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom