Sasa cha ajabu hapo nini?!Hapo vipi ππππ
Waarabu, wameshangilia ushindi wa Waarabu wenzao, kama ambavyo Waafrika wanawashangilia Morocco kwa kuwaona Waafrika wenzao.
Na kama umesikiliza, utaona hata waliohojiwa maoni yao yapo hivyo hivyo!
Lakini tukirudi kwenye source yako ya kwanza, ukisoma ndani utakutana na maelezo haya...
Yaani link yako inatuambia Sofiane Boufal ni Kocha wa Morocco... cjui kawa kocha tangu lini!In a comment after their surprise victory over Spain, Morocco national team coach Sofiane Boufal told international media that their win was for the Arab world.
Of course, mwanzoni Sofiane ali-dedicate ushindi kwa Arabs and Muslims lakini baadae akaomba msamaha kwa sababu wenzake WOTE, including Kocha, wali-dedicate ushindi kote, including Afrika!