Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli
!
Hapo vipi πππSasa cha ajabu hapo nini?!
Waarabu, wameshangilia ushindi wa Waarabu wenzao, kama ambavyo Waafrika wanawashangilia Morocco kwa kuwaona Waafrika wenzao.
Na kama umesikiliza, utaona hata waliohojiwa maoni yao yapo hivyo hivyo!
Lakini tukirudi kwenye source yako ya kwanza, ukisoma ndani utakutana na maelezo haya...
Yaani link yako inatuambia Sofiane Boufal ni Kocha wa Morocco... cjui kawa kocha tangu lini!
Of course, mwanzoni Sofiane ali-dedicate ushindi kwa Arabs and Muslims lakini baadae akaomba msamaha kwa sababu wenzake WOTE, including Kocha, wali-dedicate ushindi kote, including Afrika!
LOL!! Usinichekeshe, Pau!!Heri wachukue hao wanaoheshimu wengine
Sio mijitu vere biased ,,,,,shortly i hate them and stop kunilazimisha niwaelewe basi
Kila mtu ashabikie anachoona kinampa furaha
Man,Hapo vipi πππ
U-turn kivipi?!U turn hiyo
Aahhh watever,,,,,France will teach them
Uzuri hawafiki mbali
Watu tunataka wafike hata fainali, na ikibidi wachukue tu kombe kwa sababu nchi za Kiafrika zikifanya vizuri, na kukawa na consistency, it means wawakilishi wa Afrika itaongezeka!1
Au wewe unataka uendelee kuiona Ufaransa tu na sio siku moja uione hadi Tanzania?!
All in all, timu yoyote ambayo inafika Nusu Fainali, tayari inakuwa imeshafika mbali... labda useme hawagusi Fainali
Hafiki mbali,,,,,, watu wabaya hawafiki mbali ππMan,
You're missing the point....
Issue hapa sio maoni ya Washangiliaji bali Maoni ya Mshangiliwaji...
Mwarabu akiamua kumshangilia Morocco kwa sababu ni Mwarabu mwanzake, basi kama unaona hiyo sio sawa, anayepaswa kulaumiwa sio Morocco bali huyo Mwarabu anayemshangilia Morocco!
Mwislamu akiamua kumshangilia Morocco kwa sababu wote ni Waislam (kwangu huu ni upumbavu), basi kama unaona sio sawa, anayepaswa kulaumiwa ni huyo Mwislam na sio Morocco!
Morocco atalaumiwa endapo, pamoja na kuwa anatoka Africa, na kule kaenda kuwakilisha Africa lakini atatamka ama kuonesha hadharani kwamba ushindi wao hauwahusu Africa bali Waarabu na Waislamu.
Hapa hata mimi nitawalaani kwa sababu hawakwenda Qatar kuwakilisha Uislamu au Uarabu bali wameenda Qatar kuwakilisha Africa!
Hata akisema Mmoroko mmoja mmoja (individual persons) kwamba huo ni ushindi wa Waarabu na Waislamu bado huwezi kuilaumu Morocco kama timu kwa sababu hayo ni maoni ya mtu binafsi!
Ni kama Pau Bae yeye anatamani kusikia Morocco inatandikwa mechi inayofuata... hayo ni maoni yake binafsi lakini huwezi kutumia maoni yake binafsi kusema Tanzania inataka Morocco ichapwe!
Aaah siwachukii ni just siko impressed nao bhana ,,tusilazimishaneππHizi ni chuki zake tu,hiyo mbali alitaka wafike mbinguni?????
Hiv kuwa ktk nne bora duniani ni jambo jepesi????
ππππ akibeba kombe niite mbwa nimekaa paleeNan huyo asiefika mbali????chuki zenu zitawaua bure
KweliWatu wabaya wanakufa mapema
But African you are, aren't you?Mimi sio muslim, sio muarabu sio mmorroco
We don't have anything in common
Let me restttttt
Africa Au iliwatenga ndio maana wakaomba Eu.Kumbe mwaka 1987 walituma maombi ya kuwa sehemu ya europe wakagomewa??? Aloo hawa jamaa kweli hawataki kabisa kuitwa waafrika ni basi tu.
Kabisa.Asa rafiki angu tunawapenda hawapendeki ndo kwanza wanatukana kabisa hadharani kweli
Heri tuwashonokee wanaotuheshimu na kuheshimu shobo zetu
OAU iliwazingua kwenye suala la Sahara Magharibi ndio kilichopekea Hilo la kutaka kujiunga huko.Kumbe mwaka 1987 walituma maombi ya kuwa sehemu ya europe wakagomewa??? Aloo hawa jamaa kweli hawataki kabisa kuitwa waafrika ni basi tu.
Wacha uchawa wa kijinga hao ni waarabu na wenyewe wamesema hvyo.Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli
Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika semi final ya kombe la dunia
Roho ya Shujaa Magufuli itaamanika sana
Mlale Unono!
Wacha uchawa wa kijinga hao ni waarabu na wenyewe wamesema hvyo.Mfalme wa Morocco alikuwa rafiki mkubwa wa Shujaa Magufuli
Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Africa kufika semi final ya kombe la dunia
Roho ya Shujaa Magufuli itaamanika sana
Mlale Unono!