Tunawapongeza sana ndugu zetu Morocco kwa kuweka historia ya kuwa timu ya kwanza Afrika kufika nusu fainali

Kumbe mwaka 1987 walituma maombi ya kuwa sehemu ya europe wakagomewa??? Aloo hawa jamaa kweli hawataki kabisa kuitwa waafrika ni basi tu.
Wangeenda tu huko ulaya mbona kombe la dunia wangeishia kulisikia tu na sio kushiriki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…