Tunawarudishia Morrison + Ajibu wa nyongeza, tuachieni Chama chetu

Mdau jf

Senior Member
Joined
Sep 10, 2020
Posts
182
Reaction score
313
Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza.

Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi mashabiki.

Boss MO tafadhali ingilia kati hili suala.
 
Yaani Uto wanawazingua na nyie mmejaa, kwanza inaonesha ni jinsi gani mnavyoogopa kuhusu Chama kuondoka, brother kama anaondoka yeye aondoke kama anabaki basi abaki...Chama yupo simba aendi popote.
 
Sipati picha mnavyompa misifa huyu mwamba, ama kweli no Chama no party, ninaanza kuamini huu msemo. Ila kumbukeni Simba ilikuwepo yangu enzi hizo bila Chama, na itaendelea kuwepo bila Chama simple as that. Chama Kama wachezaji wengine anaweza akaondoka wakati wowote kwenda klabu nyingine, Ila Simba itabaki palepale. Hebu punguzeni misifa kwa huyu mwamba, hii kitu itakuja kuwagharimu siku za usoni ndg zangu.
 
Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza.

Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi mashabiki.

Boss MO tafadhali ingilia kati hili suala.
Wewe ni utopolo unawakilisha utopolo wenzako watu wa msimbazi hawawezi kua na akili za namna hii
 
Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza. Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi mashabiki. Boss MO tafadhali ingilia kati hili suala.

Hee! Leo umekuwa Simba? Ngoja nikuumbue kuwa wewe ni Utopolo. Post yako hii hapa chini nimeitoa mahali

mimi ni shabiki wa kugala gala wa deportive de utopolo nasemaje nyie simba ni chuo cha soka ila tukutane oct 18 mfumo tutakao cheza ni 4:4:2 diamond, mbele tukiwa na super striker kuwahi kutokea tz SENZO MBATHA MASINGISA
 
Hizi ni propaganda ya viongozi wa Yanga kutaka kuhamisha agenda fulani fulani, bahati mbaya na mashabiki wao hata bila kujiuliza wanawafuata! Hata kama ingekuwa wana mpango wa kumsajili Chama msimu ujao yaani kuanzia Julai 2021, inaingia akilini kuuzungumzia leo usajili wa miezi nane ijayo? Kuna ajenda inataka kufichwa kwenye kichaka cha kumsajili Chama
 
Hee! Leo umekuwa Simba? Ngoja nikuumbue kuwa wewe ni Utopolo. Post yako hii hapa chini nimeitoa mahali
Umekurupuka mkuu, hiyo post uliyoileta kama uthibitisho ama ushahidi upo dhahiri kabisa hapo kuwa huyo ni mwana msimbazi mwenzenu na kaandika kuwadhihaki Yanga. Shabiki wa Yanga hawezi sema yeye ni utopolo
 
Nyie ndo mnamtia kiburi Chama.Yaani mnafanya mchezaji ajione ni bora kuliko timu?Hakuna aliyeondoka Simba mzuri zaidi ya Chama na bado Simba yaliendelea??Wabongo sijui tunakwama wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…