Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Nov 14, 2020 #21 Tyentye said: Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza. Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi mashabiki. Boss MO tafadhali ingilia kati hili suala. Click to expand... Nadhani cha muhimu kwa MO ni kuweka ile bil 20 kwanza
Tyentye said: Chonde chonde GSM, Eng Hersi na wana uto wote, tuachieni Chama wetu kama kisasi ni Morrison sisi tutawarudishia na tutawapa Ajibu kama nyongeza. Kinachoendelea huko Istagram kinatuumiza sisi mashabiki. Boss MO tafadhali ingilia kati hili suala. Click to expand... Nadhani cha muhimu kwa MO ni kuweka ile bil 20 kwanza