Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huyo babu yako onyango ndomganga wawatopolo?Tatizo kubwa la simba kwa muda mrefu sasa (tangu walipoanza zile tambo zao za kuwa na kikosi kipana) ni kuingia uwanjani na matokeo yao mfukoni!
Mechi ya msimu uliopita na Yanga waliingia uwanjani kwa kujiamini sana! Lakini mwisho wa siku waliokolewa na Babu Onyango kwenye dk za lala salama!
kwani kwa roho yako si uwe mchawi tu ijulikane mojaUnawafanya wazidi kuchanganyikiwa.
Mumshukuru huyo huyo Onyango kwa kuwapatia penaltyTatizo kubwa la simba kwa muda mrefu sasa (tangu walipoanza zile tambo zao za kuwa na kikosi kipana) ni kuingia uwanjani na matokeo yao mfukoni!
Mechi ya msimu uliopita na Yanga waliingia uwanjani kwa kujiamini sana! Lakini mwisho wa siku waliokolewa na Babu Onyango kwenye dk za lala salama!
Wewe ni chizi bila maarifa!Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo.
Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE KUWASAIDIA, HATA WALETE MITUME. HAKUNA KITU KAMA HICHO. NDO WAMESHATOKA.
Nani anaongoza ligi?Tatizo kubwa la simba kwa muda mrefu sasa (tangu walipoanza zile tambo zao za kuwa na kikosi kipana) ni kuingia uwanjani na matokeo yao mfukoni!
Mechi ya msimu uliopita na Yanga waliingia uwanjani kwa kujiamini sana! Lakini mwisho wa siku waliokolewa na Babu Onyango kwenye dk za lala salama!
Huu siyo muda sahihi wa kuwaza nani anaye ongoza ligi! Huu ni wakati Live or Die!!! π¬π¬π¬Nani anaongoza ligi?
Kiongozi una wivu mbaya sana; Omba Mungu akusaidie;Tumeshirikiana na Kaizer Chiefs vizuri. Dawa zinafanya kazi. Waganga wetu na wao wamemaliza game. Simba leo Hatoweza kufuzu. Hata akiwaweka mitume kwenye team yake wamsiadie Simba ndo anaishia hapa leo.
Nipo tayari kupigwa Ban ya mwezi mzima. HAIWEZEKANI SIMBA KUFUZU HATA WALETE MIZIMU WACHEZE KUWASAIDIA, HATA WALETE MITUME. HAKUNA KITU KAMA HICHO. NDO WAMESHATOKA.