Tunawatakia mitihani mwema. Tunaamini Wizara ya Elimu na vyombo vyote vya ulinzi na usalama vita dhibiti udanganyifu usitokee. Na watakao bainika kufanya udanganyifu basi hatua kali zichukuliwe. Ni aibu kubwa kusikia udanganyifu umetokea.
Pongezi nyingi kwa waziri Prof. Mkenda kwa kuwa imara kusimamia Elimu yetu.
Nimefurahi sana kuona mabadiliko makubwa ya kimitaala, na hata kimfumo.
Pongezi nyingi kwa waziri Prof. Mkenda kwa kuwa imara kusimamia Elimu yetu.
Nimefurahi sana kuona mabadiliko makubwa ya kimitaala, na hata kimfumo.