Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,381
- 11,296
tembelea hii website ya hii kampuni ya utalii inahusiana na masuala ya kusafirisha wageniHabari zenu Great Thinkers!? π
Nimekaa zangu nikawa najiwazia hapa, sijui kama ni ugumu wa maisha au namba za umri wangu kutembea mwendo wa ngiri ndio kumefanya nifikie hatua ya kuja na mawazo haya.
Ndugu zangu mimi ni mwenyeji wa Kibaha, sasa huku Kibaha idadi ya shemeji zetu (Wachina) inazidi kuongezeka. Hii imepelekea hadi mzee wa kazi hapa nimedaka rafiki wa Kichina, sio haba huyu mshikaji naye amenikutanisha na jamaa zake kadhaa kwahiyo koneksheni imekuwa kubwa kiasi.
Sasa nikikaa na hawa washkaji mara kwa mara wamekuwa wananiuliza maswali kuhusu vivutio mbalimbali vilivyopo Tanzania, ila mara nyingi sana wananiuliza kuhusu Arusha na mlima Kilimanjaro, mbaya ni kuwa sijawahi kufika Arusha na mlima Kilimanjaro huwa nauona tu kwenye chupa za maji, ila washkaji wako interested kinoma kufika Arusha na kuona mlima Kilimanjaro.
Kupitia hawa jamaa zangu nimegundua hawa watu wako na shauku kubwa sana ya kuona vitu asilia.
Okay, lisiwe gazeti nikawachosha. Twende kwenye lengo la uzi.
Nawezaje kutumia huu ukaribu na hawa jamaa kama fursa ya kujikwamua kiuchumi kupitia biashara ya utalii.
Ni vipi naweza kuwasogeza hawa raia Arusha na wakafanikiwa kutimiza ndoto zao za kuugusa mlima Kilimanjaro? Humohumo na mimi nikapata mia mbili tatu za chai?
Okay, labda hii ya kuwapeleka Arusha inaweza kuwa kubwa sana. Maybe tuanzie huu ukanda wa Pwani. Ukanda wa Pwani una vivutio vyenye uasilia ndani yake, ni vipi naweza kuwapeleka hawa watu huko na kumonetize huu mchakato mzima?
Pia bila kusahau, hawa jamaa wana marafiki zao huko mashariki ya mbali, ina maana hii kitu ikifanikiwa kuna uwezekano wa kupokea wageni kutoka nje kwaajili ya hii huduma.
Nakaribisha maoni, kama nitashindwa kufanya mimi kuna mtu mwingine ataona huu uzi na maoni yenu na kuyafanyia kazi, kwahiyo tuwe serious kidogo wakati wa kuchangia.
Ushauri mzuri, ndio maana nimeandika huu uzi. Lengo ni kuwezo kupata connection ya watu wa namna hii, sijui namtoa wapi huyo rafiki wa Chuga, labda kupitia huu uzi anaweza akapatikana.Tafuta rafiki wa chuga huko akupe abcs halafu ww unasoma mazingira ya Mt kilimanjaro unaanza kuwapa abcs za huko kma unajua viiilee mwisho wa siku unatafuta guider mtakaeaminiana atakutoa kwa gharama walizolipa wageni.
Upo sahihi mkongwe, Wachina wengi wanaokuja bongo ni wabangaizaji. Lakini wapo wengine wenye kipato kikubwa tunaweza kuwatumia kwenye hii fursa.Nb: Wachina wengi sio tourists wao wamekuja kuchuma kma ww unavotafuta tonge ya ugali
Asante.tembelea hii website ya hii kampuni ya utalii inahusiana na masuala ya kusafirisha wageni
Explore Custom Tanzania Safaris with Shalev Tours & Safaris
Shalev Tours & Safaris crafts personalized Tanzania adventures, featuring wildlife, stunning lodges, and breathtaking landscapes.shalevtoursandsafaris.com
Pamoja bossAsante.
Ngoja niicheki.
Mkuu nimeku DM full details na mwingine yeyote akizitaka nitaziweka hapaHabari zenu Great Thinkers!? π
Nimekaa zangu nikawa najiwazia hapa, sijui kama ni ugumu wa maisha au namba za umri wangu kutembea mwendo wa ngiri ndio kumefanya nifikie hatua ya kuja na mawazo haya.
Ndugu zangu mimi ni mwenyeji wa Kibaha, sasa huku Kibaha idadi ya shemeji zetu (Wachina) inazidi kuongezeka. Hii imepelekea hadi mzee wa kazi hapa nimedaka rafiki wa Kichina, sio haba huyu mshikaji naye amenikutanisha na jamaa zake kadhaa kwahiyo koneksheni imekuwa kubwa kiasi.
Sasa nikikaa na hawa washkaji mara kwa mara wamekuwa wananiuliza maswali kuhusu vivutio mbalimbali vilivyopo Tanzania, ila mara nyingi sana wananiuliza kuhusu Arusha na mlima Kilimanjaro, mbaya ni kuwa sijawahi kufika Arusha na mlima Kilimanjaro huwa nauona tu kwenye chupa za maji, ila washkaji wako interested kinoma kufika Arusha na kuona mlima Kilimanjaro.
Kupitia hawa jamaa zangu nimegundua hawa watu wako na shauku kubwa sana ya kuona vitu asilia.
Okay, lisiwe gazeti nikawachosha. Twende kwenye lengo la uzi.
Nawezaje kutumia huu ukaribu na hawa jamaa kama fursa ya kujikwamua kiuchumi kupitia biashara ya utalii.
Ni vipi naweza kuwasogeza hawa raia Arusha na wakafanikiwa kutimiza ndoto zao za kuugusa mlima Kilimanjaro? Humohumo na mimi nikapata mia mbili tatu za chai?
Okay, labda hii ya kuwapeleka Arusha inaweza kuwa kubwa sana. Maybe tuanzie huu ukanda wa Pwani. Ukanda wa Pwani una vivutio vyenye uasilia ndani yake, ni vipi naweza kuwapeleka hawa watu huko na kumonetize huu mchakato mzima?
Pia bila kusahau, hawa jamaa wana marafiki zao huko mashariki ya mbali, ina maana hii kitu ikifanikiwa kuna uwezekano wa kupokea wageni kutoka nje kwaajili ya hii huduma.
Nakaribisha maoni, kama nitashindwa kufanya mimi kuna mtu mwingine ataona huu uzi na maoni yenu na kuyafanyia kazi, kwahiyo tuwe serious kidogo wakati wa kuchangia.
Kwahiyo ushauri wako ni upi mzee wa kazi?Mh! wachina kabisa! wabahili hao!..
sasa hapo watu watakufata pm na ukizubaa kama ni fursa ipo kweli watakupiga pesa!..
Sina ushauri wa moja kwa moja ila kuwa makini fungu lako lisipigwe ila binafsi kwa hao wachina naweza sema ni 50/50..Kwahiyo ushauri wako ni upi mzee wa kazi?