KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 92
Hivi kweli watu mnapoteza muda kwa kujadiliana na huyu KadaMpinzani ambaye hana hoja? jamani endeleeni na hoja nzito humu na achana naye kabisa. Ni vema kuendelea na hoja na watu walio na haja ya kuona nchi inasonga mbele kuliko kujibizana na huyu sijui anaitwa kada mpinzani. Nashauri aitwe kada mpinzani wa maendeleo.
Ni ushauri wangu tusipoteze muda wa kubishana naye. Wacha aandike anayota na hata matusi yote anayoweza. Wote tumdharau na mtu asibishane naye hata akiandika upuuzi wake.
Sijachukia chochote wewe jaribu tu kujikosha lakini lugha hii ya Kiswahili ina wenyewe na wewe sio mojawapo kwani bado inakupiga chenga.
Ukiwa tayari rejea tuendelee na mjadala.
Hivi kweli watu mnapoteza muda kwa kujadiliana na huyu KadaMpinzani ambaye hana hoja? jamani endeleeni na hoja nzito humu na achana naye kabisa. Ni vema kuendelea na hoja na watu walio na haja ya kuona nchi inasonga mbele kuliko kujibizana na huyu sijui anaitwa kada mpinzani. Nashauri aitwe kada mpinzani wa maendeleo.
Ni ushauri wangu tusipoteze muda wa kubishana naye. Wacha aandike anayota na hata matusi yote anayoweza. Wote tumdharau na mtu asibishane naye hata akiandika upuuzi wake.
Neah,
Alishadharaulika hapa kinachofanyika ni kumzungusha kama mpira vile. Nikichoka naenda kwenye benchi kunywa maji na kesho nikirudi routine ileile.
Mafisadi dawa yao ni kuwapa kile wasichopenda - udhia - na so far game plan imefanikiwa.
eti alishadharaulika.......wewe kama nani ?? mie nataka kujikosha kwa watu ? endelea tu kujikosha, unidharau, usinidharau hiyo inatoka moyoni, na kama ulizaliwa na dharau basi jua hiyo unayo tu, so as long as ulizaliwa na dharau i expect you kuwa na dharau...get it bi.saddam !
Asante kwa kugundua hili!
jamani eeh angalau najua nimewaudhi wengi humu, lakini sina chuki na yeyote ndio maana ya demokrasia- kila mtu atoe mawazo yake anavyoona yeye ni sawa na sio kuburuzana. Kwa sasa natoka kidogo, hivyo nawatakieni mjadala mwema hadi hapo nitakaporudi tena baadae kidogo.
Najua wengine mnakula kutokana na uwepo wenu humu, lakini sio nia yangu kukata hilo bomba la neema.
Tusichukiane, tupendane, kama nimewaudhi basi pia tusichukiane, ndio maana nafikiri thread hii imeandikwa !
Peace to everyone !!
Kada hujaudhi yeyote yule, kama ilivyo kawaida ya JF, ukirudi utakuta wengi hapa wakiwa wamejaa tele wakichambua ufisadi wa ccm hadi pale haki kwa wanyonge wa Tanzania itakapopatikana.
Karibu tena!
jamani eeh angalau najua nimewaudhi wengi humu, lakini sina chuki na yeyote ndio maana ya demokrasia- kila mtu atoe mawazo yake anavyoona yeye ni sawa na sio kuburuzana. Kwa sasa natoka kidogo, hivyo nawatakieni mjadala mwema hadi hapo nitakaporudi tena baadae kidogo.
Najua wengine mnakula kutokana na uwepo wenu humu, lakini sio nia yangu kukata hilo bomba la neema.
Tusichukiane, tupendane, kama nimewaudhi basi pia tusichukiane, ndio maana nafikiri thread hii imeandikwa !
Peace to everyone !!
Angalau umesema ukweli huu kwani wengine wasingekuelewa, unasema lile ambalo unalifanya na kulitegemea. Pole sana mkuu siku zote jua huchomoza na kuaga magharibi.
sijakebehi, ila ninachosema ni kwamba, yooote aliyogusia HAMNA JIPYA, na kama unaandika kitu basi lazima uwe AIM ya kuandika, hadi hivi sasa sijaona chochote kipya, na kama solutions nadhani zilishatolewa before katika threads husika !
asante !
wewe kadaM, watu tutaendelea kuimba nyimbo hiyo hiyo mpaka isikike kona zote za dunia. usipo rudia itasahaulika. Naamia nia yako ni kwa haya mashairi yasisikike kote. If am wrong and you do have any other alternative/ contructing ideas then start a new thread ujieleze. Lakini haya mashairi bado ni moto, nayaitaji kuendelea kuimbwa nawatakaoudhika wajinyonge!!!
hongera ! harusi lini ?
....Precisely, you cant hold a constructive conversation, unarusha tu maneno. You are either mad, shule ilikushinda or bado unaakili za kitoto. Again i say, if i have judge you wrongly, prove your self otherwise.
hizi zote ni kelele za mlango tu, wapinzani hawatamzuia Kikwete asifanye kazi yake. Hata kama magazeti yote yakiandika hizi habari lakini bado Kikwete hakosi usingizi kwa haya. Msijidanganye.
Kidumu chama cha mapinduzi.