Tunawaza kuwekeza kwa tulivyonavyo huku kukitafuta tusivyokuwa nacho

Tunawaza kuwekeza kwa tulivyonavyo huku kukitafuta tusivyokuwa nacho

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Tunapokuwa chini juhudi zetu huwa ni kusimama na tunaposimama juhudi zetu huwa ni kuhakikisha haturudi chini hivi vitu viwili vyote vinahitaji nguvu sawa.

Hivyo fahamu tu kuwa mapambano yetu huwa hayaishii Kupata kitu kipya ila hata kupambania ulichonacho kisipotee ni mapambano pia.

Endelea kukipa Nguvu ulichonancho huku ukiendelea kukitafuta Ambacho hauna.

By Prof , HAYA LAND
 
Back
Top Bottom