Nafikiri tatizo kubwa la nchi yetu ni kukosa ubunifu na kutokuwa na mifumo imara na hivyo kupelekea kila kiongozi mkuu ajaye kuanza upya.
Awamu iliyopita ilikuwa na viongozi ambao kama Tanzania ingekuwa nchi iliyokomaa kifikra na kidemokrasia basi viongozi wakuu karibu wote wangepaswa kuachia ngazi na kuwajibishwa kwa makosa mengi yaliyotendeka.
La kushangaza viongozi wengi wa awamu iliyopita wameendelea kuteuliwa katika nafasi mbalimbali wakati huo huo tukifikiri tunaweza kuleta mabadiliko kwa kutumia watu ambao wamekuwa wakishindwa siku zote. Tuweke mvinyo mpya kwenye viriba vipya.