Tena wanamitaji kabisaWakiwa maofisini hawa wazee wanaanza kuhimiza vijana wajiajiri wakati wao Wana miaka ya kustaafu (60+) lkn bado wanaomba kuteuliwa.
Lazima kiriba kipasuke!!!Nafikiri tatizo kubwa la nchi yetu ni kukosa ubunifu na kutokuwa na mifumo imara na hivyo kupelekea kila kiongozi mkuu ajaye kuanza upya....