Tunaweza kuiangusha CCM baada ya kutuzidi kete kwenye Chaguzi?

Tunaweza kuiangusha CCM baada ya kutuzidi kete kwenye Chaguzi?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Nauliza hili suali ili kupatikane mbinu mbadala za kuiondoa CCM madarakani bila ya kutumia nguvu, mapinduzi au silaha.

Kuna haja ya kutafakari suala hili maana hata maandamano nayo ni mtihani.
 
Usihudhurie mikutano yao, misiba, ugonjwa, na mambo yao yote ya kijamii. Atakaye hudhuria mpeni kichapo mtaani
 
Hakunawa kuitoa CCM Narudia Tena HAKUNA.

ikiwa watu wanaamini Barabara na ndege ni kazi ya ccm na CCM ni chama chao cha wanyonge.

Wapinzani tafuteni kazi nyingine tu ama mjiunge CCM.

Akina mdee wameshalijua ilo, utakufa, fungwa ama kukimbia nchi kwa ajili ya wapumbavu.
 
Labda kwa kuwatumia viongozi wa Chadema walioenda CCM kuunga juhudi. Fanyeni mpango kwa hao waliounga juhudi ili mmojawao awe Makamu wa Rais, kisha itokee sababu kama iliyofanya Samia awe Rais. Halafu huyo mtu wenu atajua cha kufanya akiwa Ikulu.
 
Unamuuliza nani Mkuu? Mbona umeuliza kama una hitimisho kuwa hapa wote ni mjumuiko wa Wapinzani wa CCM!
 
Back
Top Bottom