Tunaweza kupata vichwa vya kina Zay B, Sister P, Nakaaya na Rah P?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Ina maana hatuna watu wa kurithi hivi vichwa vya marapa kina ZAY B. SISTA P. RAHA P. NAKAAYA.

Eti wakuu hakuna ata rapa moja wa kike miaka hii, tatizo nini?
 
Mimi HuYo RaHa P niliKuwa naMtamanI mtoto mZuri sanA kwa stYle zetu zile za kupindA mgonGo
 
nakaaya sio rapa ,maswali kama hayo waulize wakina p funky na master j watakupa majibu murua but kizazi cha sasa hakuna madada ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…