Tunaweza kuzuia hatari kwa Viongozi wetu na viashiria vya mapinduzi kwa kuwa na KATIBA BORA, TUME HURU ya uchaguzi na SHERIA za nchi kufuatwa

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
12,706
Reaction score
52,355
Njia bora ya kuondoa ombe na uongozi nchini hasa kwa Viongozi wa CCM ni kuhakikisha katiba Bora inapatika.

Uchaguzi ambao ni huru na haki (transparent election) (free and fare)unafanyika na mshindi halali anatangazwa ndani ya ccm na nchi kwa ujumla!!

Sheria za nchi zinafuatwa na kila mtu kuanzia aliyekalia kiti mpaka ngazi ya shina

Vinginevyo mtaendele kufa na kufia madarakani maana mnaongoza serikali za kishetani na shetani sadaka yake ni damu

Mtaendelea kulana vichwa mpaka pale mtakapojuwa kuwa Taifa la Tanzania ni Taifa la Mungu ndio maana hautakaa usikie Vita ya ndani.

Mungu ataamua ugomvi mpaka pale mtakapokubali ukweli wa anachokitaka Mungu ni kufuata sauti ya wengi ambayo sauti ya wengi ni sauti ya Mungu mwenyewe!!

Endeleeni kushupaza shingo sisi tunaanda tu majembe na makoleo!!
 
JK mnafiki sana huyu jamaa. Alijikausha na kusema uongo, ati wachawi wote washakufa, dhihaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…