tunayaitaje maneno haya kwa kiingereza.

tunayaitaje maneno haya kwa kiingereza.

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
wadau naomba msaada wa kujua maneno haya yafuatayo kwa kiingereza yanaitwaje:

1: mishikaki
2: mvi za kwenye nywele
3: kidevu
4: uchochezi
 
1: skewer meet......mshikaki
2: gray hair.........mvi
3: chin.............kidevu
4: inflammatory........uchochezi

Si maneno yote ya kingereza yana simama mazima Mf: mshikaki
 
wadau naomba msaada wa kujua maneno haya yafuatayo kwa kiingereza yanaitwaje:

1: mishikaki-Skewer
2: mvi za kwenye nywele-Grey hair
3: kidevu-Chin
4: uchochezi-Inflammatory

wadau naomba msaada wa kujua maneno haya yafuatayo kwa kiingereza yanaitwaje:

1: mishikaki
2: mvi za kwenye nywele
3: kidevu
4: uchochezi

Mkuu mhalisi naona wachangiaji hao hapo juu wamekupa jibu ... ila mimi ngoja niongezee kidogo

mshikaki nm mi- [u-/i-] pieces of meat on spit/skewer, kebab, shish kebab.

mvi[SUP]1[/SUP] nm [i-/zi-] grey hair.

kidevu nm vi- [ki-/vi-] chin.

uchochezi
nm [u-] agitation, incitement.
 
DUMELANG, TONGONI na DOTWORLD nawashukuru sana.
 
Mkuu mhalisi naona wachangiaji hao hapo juu wamekupa jibu ... ila mimi ngoja niongezee kidogo

mshikaki nm mi- [u-/i-] pieces of meat on spit/skewer, kebab, shish kebab.

mvi[SUP]1[/SUP] nm [i-/zi-] grey hair.

kidevu nm vi- [ki-/vi-] chin.

uchochezi
nm [u-] agitation, incitement.

ahsante kwa jibu la nyongeza.
 
wadau naomba msaada wa kujua maneno haya yafuatayo kwa kiingereza yanaitwaje:

1: mishikaki
2: mvi za kwenye nywele
3: kidevu
4: uchochezi

mvi-grey hair
kidevu-chin
uchochezi-instigate
 
1: skewer meet......mshikaki
2: gray hair.........mvi
3: chin.............kidevu
4: inflammatory........uchochezi

Si maneno yote ya kingereza yana simama mazima Mf: mshikaki

mishikaki waweza tu kuita skewers ....... uchochezi = agitation au incitement
 
Back
Top Bottom