Tunazalisha ARVs humu nchini?

Tunazalisha ARVs humu nchini?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Kiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi mitatu(Labda itaendelea) tunahitaji sana tungekuwa na uwezo wa kuzalisha ARVs humu ndani. Wlikifungulia kiwanda chaArusha kuzalisha ARVs au kuna kingine kinazalisha?
 
Kuna Kada mmoja wa CCM, alikua Sijui Mwenyekiti wa Mkoa gani, aliwahi kutengeneza ARV fake! Ila CCM buana
 
Dawa haikuwa feki.

Vifungashio ndio vilikuwa na tatizo. Dawa zikapata ukungu.
Basi apewe tena tender alishe taifa maana kimeshanuka,Trump anasema haiwezekani utamu wapate wengine hela za dawa atoe yeye!!!

Clearly kabisa huyo mzee ni kama ana wazimu akisema anafanya kweli cha kufanya tuwahi mapema kabla hali haijawa mbaya.
 
Tatizo ni pesa mkuu maana hata yeye alikuwa analipwa sio bure.
 
Back
Top Bottom