Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Ramadhan Madabida
Hii ilikuwa kabla ya jiwe.Ramadhan Madabida
Alipigwa Tukio Na Jiwe
Kuna Kada mmoja wa CCM, alikua Sijui Mwenyekiti wa Mkoa gani, aliwahi kutengeneza ARV fake! Ila CCM buanaKiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi mitatu(Labda itaendelea) tunahitaji sana tungekuwa na uwezo wa kuzalisha ARVs humu ndani. Wlikifungulia kiwanda chaArusha kuzalisha ARVs au kuna kingine kinazalisha?
Kiwanda Kilikuwa Kinatoa Karanga Zisizo SawaHii ilikuwa kabla ya jiwe.
Mi nadhani alifanyiwa zengwe tu.Kuna Kada mmoja wa CCM, alikua Sijui Mwenyekiti wa Mkoa gani, aliwahi kutengeneza ARV fake! Ila CCM buana
Ramadhan Madabida
Alipigwa Tukio Na Jiwe
Wakataka kumfunga!!!
Waliagiza mzigo wenye hitilafu.Kiwanda Kilikuwa Kinatoa Karanga Zisizo Sawa
Dawa haikuwa feki.Wakataka kumfunga!!!
Siku zinakuja watazitamani hizo hizo fake walizosema anazalisha.
Basi apewe tena tender alishe taifa maana kimeshanuka,Trump anasema haiwezekani utamu wapate wengine hela za dawa atoe yeye!!!Dawa haikuwa feki.
Vifungashio ndio vilikuwa na tatizo. Dawa zikapata ukungu.
Hizi zilikuwa hazifubazi virusi, zilikuwa zinavifumua vianazaliana kwa wingi
Tatizo ni pesa mkuu maana hata yeye alikuwa analipwa sio bure.Basi apewe tena tender alishe taifa maana kimeshanuka,Trump anasema haiwezekani utamu wapate wengine hela za dawa atoe yeye!!!
Clearly kabisa huyo mzee ni kama ana wazimu akisema anafanya kweli cha kufanya tuwahi mapema kabla hali haijawa mbaya.
Hivi ile kesi iliishaje?Mi nadhani alifanyiwa zengwe tu.