Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale.
Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo;
✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka
✓ Wanakua haraka na kufikisha uzito mkubwa mdani ya muda mfupi
✓ Wanazaliana vizuri, under culture conditions
✓ Wanakula chakula cha kutengenza,
✓ Wanapendwa na wateja (satisfactory to the consumer)
✓ Wanakaa wengi kwenye eneo dogo,
Wanastahimili magonjwa
Bei zetu ni nafuu kabisa
•Samaki wasio zaliana (monosex) ni Tsh 200 kwa kifaranga 1
•Samaki wanaozaliana (mixe-sex) ni Tsh 150 kwa kifaranga kimoja
Kama unapenda kufuga samaki iwe ni kibiashara au kwa matumizi binafsi karibu tukuhudumie
Tunazalisha na kuuza mbegu Bora za samaki aina ya Sato na Kambale
Vifaranga vinazalishwa kitaalamu na vina sifa zifuatazo;
✓ Wanazoea mazingira utakayo wafugia kwa haraka
✓ Wanakua haraka na kufikisha uzito mkubwa mdani ya muda mfupi
✓ Wanazaliana vizuri, under culture conditions
✓ Wanakula chakula cha kutengenza,
✓ Wanapendwa na wateja (satisfactory to the consumer)
✓ Wanakaa wengi kwenye eneo dogo,
Wanastahimili magonjwa
Bei zetu ni nafuu kabisa
•Samaki wasio zaliana (monosex) ni Tsh 200 kwa kifaranga 1
•Samaki wanaozaliana (mixe-sex) ni Tsh 150 kwa kifaranga kimoja
Kama unapenda kufuga samaki iwe ni kibiashara au kwa matumizi binafsi karibu tukuhudumie
Ahsante! Kwanza kabisa vifaraga tunaozalisha wanatokana na species Bora aina ya Nile Tilapia (Oreochromis Niloticus) Hii ni jamii ya Sato wanao kuwa haraka
Vifaranga wetu hatuwakusanyi kiholela kutoka mabwawani/mitoni au ziwani, tuna wazalisha kwenye sehemu maalumu ya kutotolesha na kukuzia Vifaranga vya samaki ijulikanayo kama hatchery,
Vifaranga wetu wanakuwa na uniform size
Kwa wale wanaopenda jinsia moja tu ya samaki (madume tu) kupata 98% madume tu ni uhakika
Pia kabla ya kuwasafirisha kwenda kwa wahitaji tunawaandaa vizuri tuna wapack na kuweka pure oxygen gas ili kupunguza vifo njiani.