Tunda amedondosha mimba wapi?

Phoenix

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2012
Posts
10,585
Reaction score
15,468

Kwa anayejua,mrembo wetu Kipenzi,Tunda Sababasita amepeleka mimba wapi?

Mbona nilimwona akiwa na mimba kubwa tu akipokea pongezi nyingi?Aliyeiba mimba ya Tunda naomba airudishe!
 
Akizaa saa ngapi atakula kula kwenye mahoteli, sijui ilikua ya Diamond
 
Mimba ilikuwa yake au yenu? Kuna mahali aliwahi kukiri kuwa yeye ni mjamzito?
 
Mm hata hiyo mimba siwaz nawaza tuu hivi akifika 30+ ataishije?

Afu abadilishege na hiyo swimming costume
 
Daahh kitumbua hapo kinaoonyesha kimepigwa topaz ya hatari
 
picha gani hizi tunaharibiana siku tu! namauzauza ya kuwaota watoto wazuri wkt hata hatuwamiliki mods pigeni BAN huyu mutu.
 
FAKE PREGNANCY.

Kwa anayejua,mrembo wetu Kipenzi,Tunda Sababasita amepeleka mimba wapi?

Mbona nilimwona akiwa na mimba kubwa tu akipokea pongezi nyingi?Aliyeiba mimba ya Tunda naomba airudishe!
 
Kwa anayejua,mrembo wetu Kipenzi,Tunda Sababasita amepeleka mimba wapi?

Mbona nilimwona akiwa na mimba kubwa tu akipokea pongezi nyingi?Aliyeiba mimba ya Tunda naomba airudishe!
Imerudi kifudifudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…