Tunda anajishughulisha nanin hapa mjini

federicofernandez

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2016
Posts
578
Reaction score
392
Naona picha zake znyingi anapiga akiwa anakula au yupo kwenye mijumba ya kifahari

Hizi nyumba ni zake au kwao kwel?
Au ndio kick?! Au ndio anauza papuchi
 
Saivi Malaya anaekaa kona bar au Ohio au kinondoni ni lofa tu .

Mambo yote instagram .

Ukiwa ni demu una kasura labda kazuri au una chura anayenesanesa

Ama una rangi ya mtume( courtesy by lemutuz)

Basi zitumie vizuri social media kwa hakika hutokuwa masikini

Ndo vidada vingi siku vinatumia hiyo fursa na wenye pesa wanachangamkia hasa katika hali hii mbaya ya uchumi Wa uncle magu.

Unaweza kuwaita Certified Online Hookers(COH)

Wako undercover huwezi kujua ila wenye akili ya kujua wameshang'amua.

Me I love it U know.

Kuna mwenye tatizo huko[emoji3]
 
Mkuu huyu ni nani hasa....mwanamuziki bongo movie au papuch seller....tusahidie kwa cv yake kwanza.
 

Ni mwanamuziki wa Bongofleva, mara ya mwisho amemuimbia mama kijacho
 
Word!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…