Tunda atangaza Ndoa na Young Dee

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Video Queen Tunda Sabasita hivi karibuni ameweka wazi uhusiano wake wa kimapenzi na mwanamuziki David Genze ‘Young D ’ ambapo amesema Mungu akipenda ndoa yao itafungwa soon .

Akiongea na Ijumaa, Tunda alisema kuwa ni kweli yuko katika kisiwa cha mapenzi na mwanamuziki huyo na kuweka wazi hisia zake kuwa anampenda sana na kumthamini tofauti na watu wanavyo muongelea.

“ Ni kweli niko na D na ninampenda sana , Mungu akipenda tutakuwa mwili mmoja soon kwa sababu nimempima na kuona ndio mwanaume mwenye nafasi kubwa kwenye moyo wangu,” alisema Tunda .
 

Attachments

  • 1445070789712.jpg
    29.8 KB · Views: 4,524
  • 1445070825164.jpg
    63.2 KB · Views: 4,346
Wadogo bado.
Lakini bora safari hii umepata saizi yako, ile mibaba ilikua inakukongoroa tu.
Kazuri kenyewe...raha kukaangalia yani.
 
Wadogo bado.
Lakini bora safari hii umepata saizi yako, ile mibaba ilikua inakukongoroa tu.
Kazuri kenyewe...raha kukaangalia yani.

Mtoto kama yule anaenda kulalwa na side!!!!
Njaa mbaya sana jamani!!
Young dee meneja wake kasema anakula unga
 
Mtoto kama yule anaenda kulalwa na side!!!!
Njaa mbaya sana jamani!!
Young dee meneja wake kasema anakula unga

Tunda=unga+bhange+sigara+pombe+ngono.
Young dee+tunda=short life spam.
Mtoto mzuri huyu, ila ana choice mbaya.
 
Tunda=unga+bhange+sigara+pombe+ngono.
Young dee+tunda=short life spam.
Mtoto mzuri huyu, ila ana choice mbaya.

Juzi nkimuuliza tunda ig hivi tokea asubuhi unapost pombe tena mchanganyiko hulewi tu.....
 
Wadogo bado.
Lakini bora safari hii umepata saizi yako, ile mibaba ilikua inakukongoroa tu.
Kazuri kenyewe...raha kukaangalia yani.

Unadhan young dee atampa nn? Yeye mwenyewe anahudumiwa,hawa mbwa wanatafuta kick tu
 
Sasa mtoto anamuoaje huyo mama? Maana wababa aliotubeba huyo dogo ajiweke mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…