Tunda awekwa kitimoto na familia yake kwa kutembea na mume wa mtu 'Kinje'

Kumbe saba sita kimaro ndiyo baba yake Tunda???duuuh huyo mjeda namjua wa longtime sana alianzia chuga alikuwa kiboko ya vibaka na majambazi sasa hako katoto kamemshindaje kukalea?
Ndio kamemshinda kitambo
 
Samaki hukunjwa angali mbichi!
Lakuvunda halinaga ubani!
 
Wazazi wake nao hawajitambui...mtoto kama huyu ni wa kumcharaza bakora na kumpeleka jela akaozee huko.
Baba'ke na huyo mtoto alikuwa ni askari, alikuwa anaogopwa sana na katesa sana watu enzi zake anaitwa Afande Sabasita. Nashangaa kashindwa kumlea mtoto wake.
 
Hivi kweli ana familia;
hapana huyu dada kavuka mipaka jamani;
na sijui ni mchagga wa wapi;
 
Wazazi wenyewe wanamtegemea tunda, sasa walitaka afanyaje, wanajibaraguza tu, na yeye zamu yake bado
Baba yke yuko vizuri tu kiuchumi,2004 akikuaga mpambe wa tajiri mmoja wa madini arusha alizichota pesa haswa bdae ndio akahamishiwa dar kikazi
 
Sitafail kwa mtoto wangu aisee. Nitamfungia ndani ikibidi..afunzwe maadili kwanza.
Malezi ni wewe mzazi pia mtoto umfundishe maadili na dini,pia mtangulize mungu aongoze familia yako
 
Baba yke ni mjeda alikua anaogopeka moshi na mererani ila kwa binti yke kafeli
Pesa za Rushwa za maaskari, ndio zinazozaaa rahana kwa watoto wao. Asilimia kubwa ya watoto Wa maaskari wanakuwa na rahana kwa sababu wazazi wanatumia Pesa za Rahana kwa watoto wao
 
Kumbe saba sita kimaro ndiyo baba yake Tunda???duuuh huyo poti namjua wa longtime sana alianzia chuga alikuwa kiboko ya vibaka na majambazi sasa hako katoto kamemshindaje kukalea?
Watu wanashangaaa nini? Walitaka aaribikiwe nani? Sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…