Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Tunda hataki mazoea kabisa na vijitu vya ajabu ajabu, na amedhihirisha hilo kwa kumtamkia maneno makali kwa aliyekuwa mpenzi wake Casto Dickson kwamba akome kumfuatilia na ajue kuachwa sio kila kukicha kumzungumzia mara tunda hivi mara tunda vile inachosha pia inaboa.
Na kwa hili kwa kweli ninamuunga mkono Tunda, yule jamaa Casto hawezi kumgharamikia mtoto mzuri kama Tunda na vihela vyake vile vya kuunga unga alikuwa anamtia mikosi tu.
Tunda ni msichana expensive sana pia bado ni mdogo ukijumlisha na uzuri ndio kabisaaaaa na kiukweli walikuwa hawapendezani hata kidogo kudate na Casto , bora hata kipindi kile Tunda alipokuwa anadate na Kinjikitile Ngombale Mwilu.