Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
binafsi nimeshangaa,mbona wa kawaida saana.Kweli tunatofautiana macho. Huyu ana uzuri gani asee??
Mkuu mbona siku hizi hauleti nondo?Kweli tunatofautiana macho. Huyu ana uzuri gani asee??
Hivi vitu kama hii post ndo watu wanapenda. Zile za aina zangu unajichosha, unaandika na kuresearch lakn response is equal to zero.Mkuu mbona siku hizi hauleti nondo?
Lile swala la tatoo casto amelitatuaje?[emoji3][emoji3][emoji3]
usiombe umwone liveπ kuna siku nilikutana nae aisee nilishangaa sana.ni kituko alafu not so cute hizi ni 360 app edited photos ndo zinawachanganya watu ila ni wa kawaida sanabinafsi nimeshangaa,mbona wa kawaida saana.
ππππππ nimecheka sana hapo kwenye kuchagua ua. Kudata na masista duu ni hatari kweli kweli..[emoji23][emoji23] anatafuta herufi gani aweke mbele aende kwa nuhu mziwanda akamsaidie kuchagua ua
Mimi hata akitumia 78580 app kuedit, sijawahi uona uzuri wa huyu msichana, wana 'ovareti' sana.usiombe umwone liveπ kuna siku nilikutana nae aisee nilishangaa sana.ni kituko alafu not so cute hizi ni 360 app edited photos ndo zinawachanganya watu ila ni wa kawaida sana
ahaha usikate tamaa Ndugu yangu endelea kuleta sisi tupo pamoja nawe,japo mara moja kwa mwezi.Hivi vitu kama hii post ndo watu wanapenda. Zile za aina zangu unajichosha, unaandika na kuresearch lakn response is equal to zero.