Uzi ufungwe 🫡Kwenye Biblia hakuna mahali kuna kitu kinaitwa "Tunda la kati"
Bali ndani ya Bustani kulikuwa kuna miti miwili iliyokuwa katikati ya Bustani (in the midst)ambayo ulikuwa mti wa matunda ya Uzima na mti wa ujuzi wa mema na mabaya ambayo tangu awali Mungu aliwaambia wasije wakaugusa mti huo wala wasije wakayala matunda yake!
Matunda aliyokula Hawa na Mumwe Adam yalikuwa ni matunda kutoka katika mti huo wa Ujuzi wa mema na mabaya!
Swali zuri.Natanguliza samahani kama kuna watakao kwazika kwa hili swali langu ila ningeomba kupata ufananuzi kwa wanao jua.
Hivi lile tunda la katika lililokatazwa kwenye bustani ya Eden lilikuwa ni lipi?
Mana zipo hoja kwamba tunda lile ilikuwa ni Tendo la ndoa (ngono) na kama imani hiyo ni ya kweli je Eva alafanya na nani ? Mana maandiko yanasema Eva alikula lile Tunda kwanza na kisha Adam aliporudi akampa nayeye akala.!!
Sasa kama ni hivo, je ni kweli kwamba Eva /Hawa alifanya mapenzi na shetani kwanza kisha ndo akaja kufanya na Adam??
Naombeni kujua.
MakuNatanguliza samahani kama kuna watakao kwazika kwa hili swali langu ila ningeomba kupata ufananuzi kwa wanao jua.
Hivi lile tunda la katika lililokatazwa kwenye bustani ya Eden lilikuwa ni lipi?
Mana zipo hoja kwamba tunda lile ilikuwa ni Tendo la ndoa (ngono) na kama imani hiyo ni ya kweli je Eva alafanya na nani ? Mana maandiko yanasema Eva alikula lile Tunda kwanza na kisha Adam aliporudi akampa nayeye akala.!!
Sasa kama ni hivo, je ni kweli kwamba Eva /Hawa alifanya mapenzi na shetani kwanza kisha ndo akaja kufanya na Adam??
Naombeni kujua.
Una uhakika gani yalikuwa ni matunda halisi??Kwenye Biblia hakuna mahali kuna kitu kinaitwa "Tunda la kati"
Bali ndani ya Bustani kulikuwa kuna miti mingi lakini katikati ya bustani (In the midst) kulikuwa na aina mbili pekee za miti,ambayo mmoja ulikuwa ukifahamika kama mti wa matunda ya Uzima,mti huu Mungu alimwambia Adam na mkewe wanaweza kula matunda yake wakati wote lakini pia kulikuwa na mti uliofahamika kama mti wa ujuzi wa mema na mabaya ambao tangu awali Mungu alimwbia Adam na mkewe Hawa wasije wakaugusa mti huo wala wasije wakayala matunda ya mti huo,Kwasababu siku watakapo ugusa au kuyala matunda ya mti huo,basi watakufa hakika!
Matunda aliyokula Hawa na Mumewe Adam yalikuwa ni matunda kutoka katika mti huo wa Ujuzi wa mema na mabaya!
Yalikuwa ni matunda halisi wala si ngonjera za wafuga minyoo kwa kudhani kwamba kulikuwa na fumbo la kwamba lilikuwa ni Tendo la ndoa!,La hasha yalikuwa ni matunda halisi!
Kulingana na maelezo ya Biblia wakiwa ndani ya Bustani,Matunda yametajwa!Una uhakika gani yalikuwa ni matunda halisi??