Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
rengineUkiacha parachichi ,tunda gani rengine renye faida tere mwirini.
Ndugu yangu we acha tu. Hii ndio Tz ya Vi-wonderrengine
renye
tere
mwirini
mkuu nenda katika nchi yenu usituharibie lugha yetu
Njoo Pm nina mazungumzo na wewe bibiye.Ndimu.. Huleta raha kwa kina jaza ujazwe
wapi nimesema nipo chuo kikuu?wew uko chuo kikuu kabsa halaf hujui matunda yeny faida mwilin??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nani kwan i anavuta bangi changa?Bangi changa
Hebu fafanua kiduchuNdimu.. Huleta raha kwa kina jaza ujazwe
Nimepiga chabo sana semester nzima kuelekea UE msaada tafadhariwapi nimesema nipo chuo kikuu?