Tena tunda man anadai alikua siti ya nyuma katikati na hakufunga mkanda, hayo alisema katika E news ya chanel 5!
Ukiangalia utagundua yule dogo mwingine ambaye alikua camera man wa marehemu ambaye alikua siti ya nyuma alivyokua anahojiwa anaonesha kabisa ana kama stress flani bado na ana michubuko,lakini tunda man anahojiwa analeta masihala mengi kama na yupo club,
TUNDA MAN M$3G3^109999
Kweli kabisa, alafu jiulize huyo dogo mkanda umemchubua hivyo na kumbana mbavu,,, lkn,,, yeye Tunda Kashika vichuma vya viti vya mbele,,,
Kwa mshituko wa gari,,, ule,,,
Mikono yake isingeweza kuhimili mshindo wa gari hata kama ajali aliiona,,, na kwakuwa ajali aliiona na kama mikono ilifanikiwa kuendelea kushikilia LAZIMA ingevunjika.
Hata hivyo,, hata uwe na nguvu kiasi gani kwa gari jinsi lilivyo,, hakuna ambaye angeweza kujizuia asipigwe na kurushwarushwa ndani ya gari kama HAJAFUNGA MKANDA.
tunda muongo, haiwezekani alofunga mkanda aumie na aongee kwa maumivu alafu yeye asiyefunga mkanda achangamke vile..
Na kwa urongo huo, Tunda atakuwa ameiba vitu vya marehemu, ili ni jambo baya, na baya zaidi msanii mwenzako unamwita dereva wako kisa underground, wakati mshikaj aliomba kampani yako na alikuwa anakulipa.
Kwa kujua marehemu hazungumzi, akasema alingia gari la marehemu wengine wakiwa wamelala, na marehemu tu ndio aliyekuwa macho. Kasingizia kapata ajali ili achangiwe fedha sijui na wasanii wenzake sijui kuua soo la kuiba vitu vya marehemu anajua mwenyewe.
Ila jambo alofanya Tunda si zuri na la kukemewa na ni kukandamizana na kukatishana tamaa, sasa huyu dogo.aliyepona atawachukiliake mastar? atafikiliaje fani hii ya muziki na kiu ya kufanikiwa ikiwa camera na vitu vyake vinaibiwa na mtu ambaye kimsigi alitakiwa ndio wa kumsaidia????? Ndio Diamond anaendelea sababu HANA ROHO MBAYA.