To be honest kuna watu mpaka wafe ndo utasikia flani alikuwa anajuwa sana kuimba. Akisha kufa sifa zake ndo zitasambaa mpaka utajiuliza walikuwa wapi kuaappreciate machango wake akiwa bado yupo hai.
Kwa wenzangu na mm ambao kwa namna moja ama nyingine tumekuwa tukisikiliza mziki wa bongo kila mutu anafahamu jamaa alivyo fundi wa sauti asa akiwa anaimba utafikili analalamika. Kuna kipindi flan wakati wa Tip Top wakiimba basi chorus alikuwa akizitendea haki sana. Lets give the man the price he deserve b4 is to late.