Tunda sikupata ila na yeye nilimkomesha

hiyo stori yako ni furahisha genge kweli na imenifurahisha,.....kama kwel wanaume wanaeza fanya hivo hakutakua na habari za buzi mee tena
 
kitu ambacho nimekiobserve humu ni kwamba watu wanapenda sana kuwa wakali juu ya mada za watu na kushushua lakin mi sidhan kama hii ndo dhima ya jf coz jf ts all abt gteat thinkers so nawashangaa mnavyopenda umaarufu kupitia mada za wenzenu we kama unaona haikupendez chapa lapa sio kujakukera watu hapa coz usipochangia wewe kuna watu watachangia. Mwaego hata kama stori umeitengeneza ni nzuri na inamafundisho tuu tena mazuri na nimeipenda stori ngapi tunasoma na kusikia nakuona bt si za kweli heko mwaya jacaranda
 
Watu bana. Kwani nani aliwaambia story zote zinazoletwa hapa huwa za kweli?

Mnakuwa kama si magriit sinkaz asee.... Khaa!

Haya binti mmoja anambie hadisi hii imemfundisha nini.....


Mimi ni mama lakini, ila imenifundisha, mtenda akitendewa uhisi kaonewa...
 

Watu mna visa!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…