Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Muigizaji na muimbaji Sabrina Omary (Sabby Angel) ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Bob Junior ,na aliwahi kuwa katika bifu zito na Zarina Hassan kisa Diamond .
Sabby aliwahi kumtambia Zari kwamba hamfikii kwa uzuri hata kidogo na amepata bahati tu ya kuchaguliwa na Diamond bahati ambayo yeye(Sabby Angel)alikuwa anaiota usiku na mchana .