Tetesi: Tundaman adaiwa kupata ajali,wengine wadai kafariki

Tetesi: Tundaman adaiwa kupata ajali,wengine wadai kafariki

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Hadi sasa bado ni fununu tu,inawezekana ikawa kweli au ikawa kick maana jamaa mwenyewe ashapotea ndiyo njia za kurudi kwenye spotlight hizi halafu ghafla unasikia katoa nyimbo
 
Mmmh....hata mm kuna mtu ameniambia kua amefariki lakini hajanifafanulia vizuri,inawezekana ikawa ni kweli au ni kiki. ....
Kama ni kweli basi MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.
 
Mmmh....hata mm kuna mtu ameniambia kua amefariki lakini hajanifafanulia vizuri,inawezekana ikawa ni kweli au ni kiki. ....
Kama ni kweli basi MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.
Mwili wake aulaze wapi shehe?!!!
 
Dah!! Watu wataji sevia mama msapu muuza biriani pale kwetu pazuri
 
Hivi kiki hua zina mchango gani kwa raia wa kawaida?[emoji848][emoji848][emoji848]
 
TundaMan hajafa nilimwona Jana kwenye kipindi cha Refresh katika Wasafi TV akiojiwa.Mzima kabisa hizo Habari ni za uongo tena Mzima wa afya kabisa.
Na alisema akitaka kutoa ngoma hatoweza kutoa pesa kwenye Radio au TV ili ngoma yake ipigwe.Mpaka atakufa hatotoa hata shilingi yoyote ile.Alisema Tundaman.
 
Back
Top Bottom