nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Wewe nani kakwambiaHadi sasa bado ni fununu tu,inawezekana ikawa kweli au ikawa kick maana jamaa mwenyewe ashapotea ndiyo njia za kurudi kwenye spotlight hizi halafu ghafla unasikia katoa nyimbo
Mwili wake aulaze wapi shehe?!!!Mmmh....hata mm kuna mtu ameniambia kua amefariki lakini hajanifafanulia vizuri,inawezekana ikawa ni kweli au ni kiki. ....
Kama ni kweli basi MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALI PEMA PEPONI.
Mwili wake aulaze wapi shehe?!!!
Msiwe mnatoa haraka hizi RIP...vuta subira....R i p
Bana eeeh!Imagine ni wewe unasoma posti watu wamekutanguliza pumzikoni!Msiwe mnatoa haraka hizi RIP...vuta subira....
Noma sana....Bana eeeh!Imagine ni wewe unasoma posti watu wamekutanguliza pumzikoni!