Tunda mi simpendi kweli sababu ya Mauongo yake.Huyu kiazi game linamwendea kombo
Kuna watu wanasema eti Tundaman hajawahi kuimba, analia tu juu ya beat sijui ni kweli?
Akisema hivo nishtue,niungane na wewe kumtembezea kichapo ambacho hakijawahi kutokea duniani.Namsubiri aseme Wimbo wa Taifa (Muziki) wa kwake atanikuta pale kijiweni kwao Tip Top niko na fimbo namsubiri.