Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 18,046 Reaction score 38,598 Apr 17, 2021 #1 Nimeona vipande kadhaa youtube na tiktok kwakweli wimbo una mahadhi fulani ninayo yakubali. Naomba kujua wimbo huo watoka lini au kama umeshatoka weka link hapa.
Nimeona vipande kadhaa youtube na tiktok kwakweli wimbo una mahadhi fulani ninayo yakubali. Naomba kujua wimbo huo watoka lini au kama umeshatoka weka link hapa.