Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
Ujinga Gani...labda wewe ndo mjingaNyie ndo mnamjaza ujinga. Anavimba kichwa
Kwa wewe, una haki ya ku declare hivyo. It is your right.Mh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.
Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea jaribio la kutaka kumuua baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa eneo la makazi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.
Na hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanywa na Serikali ya CCM.
Nilishawahi kusemaMh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.
Serikali ya awamu ya tano (5) chini ya Rais Magufuli, lilitokea jaribio la kutaka kumuua baada ya kushambuliwa kwa risasi akiwa eneo la makazi ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma.
Na hadi leo hakuna uchunguzi wowote uliofanywa na Serikali ya CCM.
Ndio ukweli!Nyie ndo mnamjaza ujinga. Anavimba kichwa
Bora anayevimba kichwa kuliko wewe unayevimba makalio hadi yanakulemea.Nyie ndo mnamjaza ujinga. Anavimba kichwa
Wengi tulikuwa hatuamini,ila Kwa hili la g55 tumeamini Mbowe ni tatizo kubwa.Nilishawahi kusema
Mbowe na kundi Lake ni Opportunist na walikuwa wanabenefit sana na mfumo wa kipuuzi
It is high time now kuachana na upuuzi
Thaïs time tutaelewane
Ile b12 aliyodakishwa na mama Dulla ndiyo anaitafutia matumizi kwani wakati ule wa uchaguzi alitumia kama m300 tu na hakuzirudisha.Wengi tulikuwa hatuamini,ila Kwa hili la g55 tumeamini Mbowe ni tatizo kubwa.
Mpinzani kwa sera ya kukinukishaMh. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa, ndiye mpinzani wa kweli nchini Tanzania.